DOJO KUN

TABIA NJEMA.
Lengo kuu la Karate-Do ni kupigania mwenendo sahihi wa tabia(kupigania tabia njema),
ukijaribu kuyapunguza madhaifu yako katika kila siku ya maisha yako.

KUWA MWAMINIFU
Hii ni pamoja na kuepuka udanganyifu ndani na nje ya nafsi yako.

JITIHADA
Mwenendo wa kukuza tabia ya jitihada ikiwa ni pamoja na pongezi pale inapobidi.

NIDHAMU
Kuheshimu kanuni za taaluma.

UNYENYEKEVU
Mwenendo wa kutoka kwenye tabia ya tabia ya jazba.

No comments:

Post a Comment